Msaada wadau,
Nina cd ya windows7 ambayo sio bootable, nimekwama jinsi ya kuburn hizo files kuwa bootable win7. Nimejaribu kutengeneza iso file kwa ajili ya kuburn bila mafanikio. Natumia UltraISO.
Thanks.
hamna mkuu. hiyo uliyomwambia kazi yake ni nainukuuu Folder2Iso just creates an iso from any kind of folder (with the subfolders). tatizo ilibidi uulize kwa nini sio bootable. hiyo software ulimwambia kazi yake ni sawa na ultraiso aliyosema anatumia yeye. tatizo hapa sio kutengeza iso. tatizo ni kupata bootable file ambazo hazimo katika mafolder ya win7 dvd alokuwa nayo.
ushauri: tafuta dvd ambayo ni bootable. na ni rahisi mno kuipata hiyo kaka. kwa iso programz cant get anywhere. usisumbuke