Ndugu zang jf naomba munisaidie namba au Email ya Rais Barack Obama ,nimechoka mno na nchii hii bora niwe house Boy wake.
Maisha bongo co yenyewe kabisa
msaada wenu jamani
Panda basi la Akamba umfuate bibi yake Kisumu umuombe akupe namba ya mjukuu wake. Hata ukipenda unaweza kufanya uhouse boy kwa hiyo bibi na malipo yakawa yanatoka kwa Obama