Habari wakuu, naomba msaada wa kupata mawasiliano na mhariri wa gazeti la uhuru lengo ni kuwasiliana naye kupata nafasi ha kuandika makala zangu katika gazeti hilo. Tafadhali mwenye mawasiliano naye anicheki inbox, nitashukuru