Ielezee bhiashara unayotaka kufanya kwenye nyanja zifuatazo:-
- A problem statement (Haya ni maelezo mafupi kuhusu changamoto unayotaka kufanyia kazi)
- A proposed solution (Haya ni maelezo mafupi kuhusu suluhisho la changamoto hiyo)
- A pricing estimate* (Haya ni makisio ya gharama kwa ajili ya kupambana na changamoto hiyo) Kwa ufupi ndo hiyo.