Msaada wa maswali kada ya Transport officer

Desire mobutu seseseko

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
1,002
Reaction score
1,475
Wakuu maswali gani yanaulizwa kwa kada ya Transport officer, kwenye paper, tupia hapa unayoyakumbuka kama ushawahi kufanya paper za kada hiyo.
 
Wakuu maswali gani yanaulizwa kwa kada ya Transport officer, kwenye paper, tupia hapa unayoyakumbuka kama ushawahi kufanya paper za kada hiyo.
Kwanini usisome kwa marefu na mapana ukaelewa na badala yake umeamua kufuata njia ya mkato?

Njia ya mkato ndiyo njia ndefu zaidi maishani.

WATU WAKIKUPA MASWALI YA UONDO HAPA JUKWAANI HALAFU USIYAKUTE KWENYE INTERVIEW ITAKUWAJE? UTAFANYA NINI? UTAMLILIA NANI?
 
Kuna kipindi niliona paper ilikua ya transport analysis. Yalikua cost minimization, lead time na vitu vingine kama ivyo
 
nikujua maswali nitaelewa yanatokea kwenye Topics zipi ndo nipitie mkuu

Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…