Habari wanajukwaa, kichwa cha habari hapo juu cha husika, nina laptop aina ya dell lat. D630 ina switch ya wireless (wi fi na bluetooth) lakini software zake hazipo. Msaada tafadhali namna ya kupata bluetooth software ambayo naweza connect na simu nitumie kama modem.