Habari zenu wadau? Naitwa dixon. Nina app yangu nataman sana kuiweka playstore lakn sababu ya garama nimeshndwa. Kw kuwa playstore ukisha lipia mara moja unaweza weka app nyng uwezavo nami naomba app yangu mnisaidie kuiweka playstore, ahsanten sana mawasiliano yangu ni
Whatsap, 0769680075
Voice calls, 0685857293