Alexander McQueen Senior Member Joined Aug 30, 2016 Posts 186 Reaction score 41 Sep 14, 2019 #1 Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari?
Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari?
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,200 Sep 14, 2019 #2 Kwa tecno labda auziwe fara ndio utaipata inauma lakini ndio ukweli
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,826 Sep 14, 2019 #3 KING 360 said: Kwa tecno labda auziwe fara ndio utaipata inauma lakini ndio ukweli Click to expand... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
KING 360 said: Kwa tecno labda auziwe fara ndio utaipata inauma lakini ndio ukweli Click to expand... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14,907 Reaction score 34,441 Sep 14, 2019 #4 Ata police wata kushangaa
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,826 Sep 14, 2019 #5 Mr Devil said: Ata police wata kushangaa Click to expand... 😂 😂 😂 😂
Marashaaa95 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 848 Reaction score 724 Sep 14, 2019 #6 Hiyo ni TECNO DURO au TECNO WEREVA??
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,826 Sep 14, 2019 #7 mkuu Alexander McQueen inabidi uwe na moyo kwa izi comments aisee
alex okama Member Joined Sep 14, 2016 Posts 27 Reaction score 15 Sep 14, 2019 #8 Kanunue ingine, mbona ni 150,000/- tu bei yake
muxa Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 195 Reaction score 161 Sep 14, 2019 #9 Fingerprint yake inayo wap mzee
Mr Trust JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 237 Reaction score 126 Sep 14, 2019 #10 muxa said: Fingerprint yake inayo wap mzee Click to expand... Anayo kwenye kidole
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,006 Sep 14, 2019 #11 KING 360 said: Kwa tecno labda auziwe fara ndio utaipata inauma lakini ndio ukweli Click to expand... Labda umemaanisha android maana kila android inaweza kubadilishwa imei
KING 360 said: Kwa tecno labda auziwe fara ndio utaipata inauma lakini ndio ukweli Click to expand... Labda umemaanisha android maana kila android inaweza kubadilishwa imei
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,006 Sep 14, 2019 #12 Alexander McQueen said: Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari? Click to expand... Nenda police karipoti. Ingawa uwe na moyo juu ya gharama. Hazitabiriki. Kama uko vizuri si ununue nyingine tu
Alexander McQueen said: Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari? Click to expand... Nenda police karipoti. Ingawa uwe na moyo juu ya gharama. Hazitabiriki. Kama uko vizuri si ununue nyingine tu
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,610 Sep 14, 2019 #13 Nenda polisi mkuu na hiyo imei namba
thespotter Member Joined Sep 12, 2019 Posts 17 Reaction score 6 Sep 16, 2019 #14 Castr said: Nenda police karipoti. Ingawa uwe na moyo juu ya gharama. Hazitabiriki. Kama uko vizuri si ununue nyingine tu Click to expand... polisi wanazingua kna jamaa lang kaibiwa laptop wanaxma ip address zinahtajka kawapatia ila bado ni miyeyusho tu inaelekea mwezi
Castr said: Nenda police karipoti. Ingawa uwe na moyo juu ya gharama. Hazitabiriki. Kama uko vizuri si ununue nyingine tu Click to expand... polisi wanazingua kna jamaa lang kaibiwa laptop wanaxma ip address zinahtajka kawapatia ila bado ni miyeyusho tu inaelekea mwezi
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,437 Reaction score 4,828 Apr 5, 2021 #15 betyxon said: Anayo kwenye kidole Click to expand... Ahahaaaa jamani
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,008 Reaction score 9,408 Apr 6, 2021 #16 Polisi wetu hawa wana track vifaa vya bei nzuri tu ambavyo wanajua na wao watapata ulaji na pesa za bia na nyama choma... Lakini hizi simu/tecno za 100k - 150k hata usipoteze muda wako, Wekeza nguvu tu kutafuta pesa ya kununua nyingine..
Polisi wetu hawa wana track vifaa vya bei nzuri tu ambavyo wanajua na wao watapata ulaji na pesa za bia na nyama choma... Lakini hizi simu/tecno za 100k - 150k hata usipoteze muda wako, Wekeza nguvu tu kutafuta pesa ya kununua nyingine..