hapo lazima vifutike mkuu,bonyeza button ya vol kwenda chini na power button kwa pamoja kwa kama dk moja!Habarini wana JF?
Ni hv dogo kachezea cm yang ya Huawei ascend na bahati nbaya kaweka pattern ambazo hakumbuki namna ya kuzitoa,wengne wamenishauri nikafrash lakn inakuwa ngumu maana nimeulizia wanasema ukifrash kila kit kinafutika hivy inakuwa ngumu maana kuna vitadata vyang vya muhim sitaki vifutike HVO basi Naombeni msaada wenu wa kitaalam kutoa lock ya pattern kweny hii cm bila kufrash.
Asanteni sana.
Mkuu cjaona matokeohapo lazima vifutike mkuu,bonyeza button ya vol kwenda chini na power button kwa pamoja kwa kama dk moja!
Ya ni android ni huawei Ascend y330Simu yako ni android?
Hapo mbona atakuwa anascreenshot? Au simu za huawei zinatofautiana?hapo lazima vifutike mkuu,bonyeza button ya vol kwenda chini na power button kwa pamoja kwa kama dk moja!
Simu yako itabidi uizime halafu baada ya hapo bonyeza home+vol down+ power button itakuletea menu ya kufanya restoration na vitu vilivyomo kwenye CMU itafutika.Ya ni android ni huawei Ascend y330
hiyo ndo njia rahisi, kama simu yako haina memory card weka memory card, harafu rudia maelekezo kama jamaa alivyosema, keep on trying mpaka ikubalMkuu cjaona matokeo
Mkuu naona inaleta information hzhapo lazima vifutike mkuu,bonyeza button ya vol kwenda chini na power button kwa pamoja kwa kama dk moja!
Niwefika kweny kufanya restoration, swali je hyo restoration nafanyia kwenye sim hii au external device kama computerSimu yako itabidi uizime halafu baada ya hapo bonyeza home+vol down+ power button itakuletea menu ya kufanya restoration na vitu vilivyomo kwenye CMU itafutika.
Nashukur kwa ushaur, naufanyia kaz.Kama unakumbuka email uliyojiungia huenda ikakusaidia.
Kosea kosea kisha itakupa option kama umeforget password, then ingiza email na password ya email, login na create pattern upya.
poa, jaribu kupitia na hapa chiniNashukur kwa ushaur, naufanyia kaz.
Sijui kwa huawei inakuwagaje! Wa tecno ungeenda kwenye security, halafu kuna kibox kwenye menu ya "power button lock instantly" unaondoa ile alama ya vema kwenye hicho kibox! Sasa kwa hiyo ya kwako sijui!Nashukur kwa ushaur, naufanyia kaz.