Nimedukuliwa facebook account yangu na kubadilishiwa email na password na mtu nisiyemjua, siwezi tena ku-login kwenye account yangu, kaondoa email yangu kaweka yake na kubadilisha password, MSAADA PLEASE mwenye kufahamu namna ya kurudisha.
Tatizo mna TAMAA na vitu vya mtandaoni
Kama hujapigwa na DEMU aliyejifanya mzungu kwa picha kali
Basi itakuwa ni zile mishe za. kudownload pesa mtandaoni