Simple sana ka kumsukuma mlevi, but ni risk sana kama ukiwa careless unaweza sababisha simu yako iwe na bootloop au kutokuwaka kabisa mpaka uiflash kwa stock firmware, Tafuta Custom Recovery ya sim yako Google pamoja na SuperSU flash zip file, ambayo saizi ni latest SuperSU.zip_2.8, hii SuperSu weka kote kwenye SD card na Internal storage,,,, Sasa ka una stock ROM ya sim yako chukua(Copy) Scatter file na Preloader na Custom Recovery yako then weka kwenye folder moja kwa desktop, Nina assume unaijua SP Flash Tool,,,,ifungue SP flash tool then tafuta load scatter file kisha chagua scatter ulosave kwenye folder lako kwa desktop kisha itakua loaded kwa SP tool then just make sure umeweka tick kwenye partition moja tu ya Recovery (Usitick Preloader!!) then flash, ikishakua done! Boot sim yako kwenye recovery by holding Volume up button plus power button simultaneously na release power button uku ume hold volume UP button, W4 yako itawakia kwenye Custom Recovery ya TWRP, chagua install na itakudirect kwenye storage za sim yako ani internal storage na SD card asa we chagua wapi ulipoiweka SuperSU.zip yako then swip right to flash ukimaliza don't do anything! We boot sim yako kama kawa! Hongera hapo utakua umeroot kinamna ivo ani... Sorry nmeandika maelezo mengi sana ya kuchosha lakini ndio ilivyo kuroot most of mtk devices with android 6.0 Marshallow... Huitaji ku unlock bootloader kama una Custom Recovery tu ya sim yako, Preloader na Scatter file ya Stock ROM yako...