Msaada wa kupatiwa kazi ya muda

real thinker

Senior Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
118
Reaction score
30
Mimi ni mwanafunzi mwaka huu na nimefaulu kwenda chuo lakini sijafanikiwa kuingia mwaka huu kutokana na kukosa mkopo nimesoma kombi ya HGE so that kama kuna mtu ana access ya kunisaidia kupata temporal work a nisaidie. My number 0652150999
 
Nafikiri ulimaanisha temporary 'tempo'! Na si ' temple'Nakutakia kila raheli katika utafutaji.
 
Nafikiri ulimaanisha temporary 'tempo'! Na si ' temple'Nakutakia kila raheli katika utafutaji.

ni kila la heri/kila la kheri na sio kila "raheli".... kukosea ni kwa kila mtu muhimu concept umeipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…