Aksante mkuu kwa taarifa hili jambo limenivuruga sana ndipo nikaomba msaada huku kwa kuwa sina uelewa wa kutoshaHaya maswala ya kuthibitisha mnayatoa wapi .
Shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2014 ,siku 14 baada ya hapo nafasi atapangiwa mwingine kama mwanafunzi hatafika shulen kureport .
Wanaothibitisha ni wale waliochaguliwa vyuo.
Shule ya NYANTAKARA iliyopo mkoa kagera wilaya biharamulo
Salaam wana jf wote popote mlipo
Nipo mkoa wa pwani naomba kwa yeyote anayeufahamu mawasiliano ya shule tajwa hapo anisaidie kupata kwani wizara imetoa siku ya mwisho kuthibitisha kuwepo kuwa ni tarehe 9/6 baada ya hapo nafasi zitajazwa sasa nipo mbali naomba msaada niweze kupata mawasiliano ya wao iwe mwalimu au mtu yeyote aliyepo jirani na shule
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Kwa aliyesoma pale mzazi/mlezi au mwalimu naomba sana msaada huo
Oooy niajeHaya maswala ya kuthibitisha mnayatoa wapi .
Shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2014 ,siku 14 baada ya hapo nafasi atapangiwa mwingine kama mwanafunzi hatafika shulen kureport .
Wanaothibitisha ni wale waliochaguliwa vyuo.
PoaOooy niaje
Nimekuwekea tangazoLinii tunanzaa uthibito kwa wale wavyuoniii
Nimekuwekea tangazoView attachment 1118407
Hiviii. Naweza badirisha chuo kotoka cha mipango kwenda clinical off wakakubaliiiNimekuwekea tangazoView attachment 1118407
Nimekuwekea tangazoView attachment 1118407
Nijuavyo mimi kama ulisoma masomo ya sayansi unaweza kubadili kama ulisoma ya biashara huwezi kubadili kwenda clinical hawatakubaliHiviii. Naweza badirisha chuo kotoka cha mipango kwenda clinical off wakakubaliii
Nijuavyo mimi kama ulisoma masomo ya sayansi unaweza kubadili kama ulisoma ya biashara huwezi kubadili kwenda clinical hawatakubali
Mkuu naomba kufahamu Kama wanatoa mikopo kwa waliochaguliwa certificateNimekuwekea tangazoView attachment 1118407
Mkuu naomba kufahamu Kama wanatoa mikopo kwa waliochaguliwa certificate
Nooop hawatoiii mkopo mpaka uwe umehitimu 6
[/QUOTE ] okay
Wabathibitisha kupitia tovuti au vp,,,,.Haya maswala ya kuthibitisha mnayatoa wapi .
Shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2014 ,siku 14 baada ya hapo nafasi atapangiwa mwingine kama mwanafunzi hatafika shulen kureport .
Wanaothibitisha ni wale waliochaguliwa vyuo.
Wabathibitisha kupitia tovuti au vp,,,,.
Msaada pleas katika hili