Tulia kijana muda umeongezwa...! So fatilia taratibu pila papara ili upate muafakaNaombeni msaada.
Nina diploma. nataka kujiunga na degree. Nikiomba verification number Nacte wananiambia database yao hainitambui, Chuo nilichomaliza wameniambia wameshatuma taarifa zangu. Nini cha kufanya? Maana deadline ni leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tatizo n kwamba nacte hawana details zako kutoka chuo ulichotoka hata kama chuon wanasema walishatuma ila kama database haikutambui jibu ndo hilo taarifa zako hazijafka nacte fanya hivi nenda ofis za nacte wewe mwenyew usipige simu wala usitume mtu ili upate uhakika kama tarifa zako zipo uko au la ndo utajua cha kufanya pole sana i understand the feeling!Naombeni msaada.
Nina diploma. nataka kujiunga na degree. Nikiomba verification number Nacte wananiambia database yao hainitambui, Chuo nilichomaliza wameniambia wameshatuma taarifa zangu. Nini cha kufanya? Maana deadline ni leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unataka uaply Vp kama huna verification no....Huwezi kuapply bila ya hyo namba bro ukifika kipengele cha kusubmit application system inakutaka uingize hyo namba yani tatizo hili hata mimi limenikumba na sitaenda chuo mwaka huu kwa uzembe wa watu.