Habari wanajukwaa.Siku chache zilizopita kuna mtu wangu wa karibu aliibiwa simu na cha ajabu zaidi huyo aliyeiba simu anaitumia kutapeli watu je inawezekana kumpata huyo mtu tukilifuatilia suala hilo?

Hakuna msaada kama simu yake hakuifanyia setting kwamba ikiibiwa mikononi mwake aweze kupata access za anayetumia ili kujua alipo.
Unapoibiwa simu cha kwanza piga kwa customer care wa mtandao unaotumia kupitia simu ya mtu yeyote anayetumia line ya mtandao huo waambie waifunge line isiweze kutumika tena kupiga wala kufanya miamala ya pesa hadi utakapo renew number yako na kama upo Tanzania anza kujikusanya ununue simu nyengine maana hakuna utakapoenda ukapewa msaada wa maana zaidi ya kupoteza muda wako.