R rasheedtuppa New Member Joined Jul 15, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jul 17, 2016 #1 Jamani mimi ni mwanafunzi wa KCMC kozi ya Pharmacy. Naomba msaada wa kuweza kumaliza masomo yangu ya diploma mwaka ujao kwani nimekwama kiada. Aliyekuwa akinisomesha amefariki dunia. Msaada tafadhali
Jamani mimi ni mwanafunzi wa KCMC kozi ya Pharmacy. Naomba msaada wa kuweza kumaliza masomo yangu ya diploma mwaka ujao kwani nimekwama kiada. Aliyekuwa akinisomesha amefariki dunia. Msaada tafadhali