Kuna shida ya setup files hapo za kwenye cd, kwa urahisi zaidi, ingia internet then download hiyo Kaspersky kuendana na version iliyoko kwenye hiyo cd, hii itakusaidia hata kama umedownload ambayo ni trial lakini kwa kuwa unazo lisence key kwenye hiyo cd itakuwa rahisi zaidi kuiactivate kwenda full version.
Ingia www.filehippo.com, fuata category ya antivirus, download then hiyo Kaspersky then activate kwa kutumia keys za kwenye hiyo CD ya set.
You'll thank me later