Msaada wa kuingiza Bundle katika Modem za Huawei

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,384
Reaction score
11,286
Wakuu nisaidieni, kwani na kwama hasa kuingiza tarakimu
km *150*00#
km *148*01#
km *149*99#
hata baadaye kuongeza *2#, * au #
yaani ninachofanya ni kuitoa cheap na kuingizia kwenye simu (Mobile Handset) hata kutaka kujua ni kiasi gani kimebaki kwenye Modem ni lazima uichomoe kwenye Laptop, Computer nk ili uingize kwenye simu la sivyo albaki yote wataikomba
Yaani kila nijaribu-po huambiwa "Tafadhali hakikisha namba ya mteja umpigiaye"
 
sio software zote za kuunganishia modem zinakubali ussd function ambayo inafanya kazi hii,jaribu kucheki na metfone imekaa poa hope inaweza ikakubli hilo tatizo lako!!!!!!!
 
  • Download and install Huawei mobile Partina 23 toka kwenye hii link.
    Code:
    [url=http://huaweifirmwares.com/download/mobile-partner-23/]Mobile Partner 23[/url]
  • Utakuwa umetatua tatizo lako.
 
Tatizo hujasema unatumia Modem aina gan? Huawei , zte au alcatel taja hilo tujue unasaidiwa vp
 
hizi hapa Ukwaju zina option ya ussd

Code:
[URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/448008-new-huawei-mobile-partiner-3.html[/URL]

Code:
[URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/501435-hapa-new-huawei-wifi-mobile-partner-dashboard.html[/URL]

Code:
[URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/344671-huawei-mobile-partner-download-2.html[/URL]

ushindwe wewe tu
 
Tatizo hujasema unatumia Modem aina gan? Huawei , zte au alcatel taja hilo tujue unasaidiwa vp
ipo kwenye heading
Re: Msaada wa kuingiza Bundle katika Modem za Huawei (E1550)

hata hivyo nashukuru mkuu kwa kunijali ngoja niingie kwenye link nimepewa huko na Mwl.RCT C6
 
  • Download and install Huawei mobile Partina 23 toka kwenye hii link.
    Code:
    [URL="http://huaweifirmwares.com/download/mobile-partner-23/"]Mobile Partner 23[/URL]
  • Utakuwa umetatua tatizo lako.
View attachment 109592
Mkuu nashukuru sana hii k2 ni mwake kabisa na ndio natumia sasa hivi Mobile Patiner 23
Tatizo bado lilelile nikitaka kupiga Phone nashindwa hasa kwa kutumia * au # mfano *150*00#
Yaani sioni Call ipo wapi kwani kuna Phone (Phobook)
Msaada Mkuu Mwl.RCT na C6 bado siioni hiyo call
 
  • Nimethibitisha hiyo link hapo juu haina USSD, option ya USSD imeondolewa.
  • Download toka kwenye hii link utapata dashboard yenye USSD, Size 17.06mb [Link #3 ya C6]
    Code:
    [URL="http://www.mediafire.com/download/m2evdvfwfkir4fb/WIN_MP+V23+5skin%2BUSSD_2un%40.rar"]Mobile Partner 21.003.27.00.03[/URL]
Fuata hatua 1 - 5 kupata USSD






Karibu.
 
Mwl.RCT wewe ni mkali haswa!!!!
imekubali
ila nisaidie kwenye Calls ninapotaka kukupigia kwenye hii mitandao yetu mfano 07********
au Mobile Partiner haiwezi? sorry for that Nimejaribu kuweka Screen shot bado hakuna Icon ya Calls

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…