Msaada wa kuifahamu Mpitimbi Secondary School

Joined
Jun 13, 2016
Posts
26
Reaction score
4
Poleni na majukumu wana jamii forum;

Naomba kwa anayeweza kunisaidia mawasiliano ya mkuu wa shule ya Mpitimbi Sec School anisaidie nataka kumpeleka mtoto wangu kapangiwa hiyo shule sasa nimeona ni vizuri nikafanya mawasiliano na uongozi wa shule kabla sijampeleka kujua
juu ya hiyo shule.

Naombeni huo msaada ndugu zangu
 
Mawasiliano ya Mkuu wa shule si rahisi labda utafute mwasiliano ya shule kupitia afisa Taaluma wa Mkoa uliko anaweza kukusaidia
 
Ingia katika website ya Tamisem utakuta joining instructions za shule mbalimbali ikiwapo na hiyo, utakuta namba ya simu ya mkuu wa shule
 
1. Shule ipo mkoani Ruvuma...
2. Kama unatoka Dar safiri kwa basi inaitwa Superfeo, utaondoka Dar saa 12 asubuhi na kufika Songea kati ya saa 2 hadi 3 usiku wa siku hiyo hiyo9
3. Pale utapanda vibasi vya kwenda mpitimbi kama kilometer 30 kwenye uelekeo wa barabara ya kwenda Namatuhi
 
Ni ujinga tu kuna mpumbavu mmoja amechezea takwimu kuonyesha kama shule za serikali zimefanya vizuri jiulize ni kitu gani kimebadilika ,
pumbafu
 
Kapangiwa HKL ila nafanya utaratibu abadilishe asome CBG kwani kwa hapo ana CCC siunajua changamoto ya art ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…