Hello wajf nilikuwa naomba msaada katika hili ninapofanya installation ya ARC GIS kwenye laptop yangu ambayo ina window ya (WINDOW 7 ULTIMATE) installation inafika sehemu inagoma sasa sijajua ni wapi ila kwenye Desktop Adiministrator inanitaka nifanye setting katika haya:
SOFWARE PRODUCT-IWE ArcInfo
LICENSE MANAGER-use Localhost
AVAILABILITY-ArcInfodesktop(floating)
Lakini ninaporun ARCGIS baada ya installation inakataa na nikama inataka nifanye setting ya HostName na License Path
Kwahiyo wanajf nilikuwa nahitaji msaada wenu ni nini cha kufanya hapa nawakilisha.