Sidhani kama hiyo njia atafanikiwa, lakni kama simu ni sony original tafuta program ya sony companion lazima uwe na kompyuta, tafuta jinsi ya ku-reset kwa kutumia sony companion kulingana na simu yako.
yaaah hapo ni sony companion au sony flashing tool.
Mie nilijaribu hiyo ya button mpaka nimechoka.
Companion/flashing tool pia kwangu zimedunda maana ipo locked bootloader.
Kama kuna mwenye ufumbuzi anisaidie maana nimefuata process zote kuondoa bootloader il nakwama kuanzish comand kwenye Android SDK Studio 1.5