Ili smartphone yako iwe na font unayoitaka wewe, lazima utumie app.
App rahisi kuliko zote ni iFont.
Kubadilo font, fuata hatua zifuatazo:
1: Download app ya iFont, halafu iinstall.
2: Download na install font unayoitaka, yaani andika jina la font unayotaka ikifuatiwa na neno .ttf
Hapo utakuwa umemamliza.
N.B.
Kudownload font unayoitaka, inabidi uijue hiyp font inaitwaje.
Kujua majina ya fonts mbalimbali, ingia google images tafuta neno 'font style', hapo utaona majina ya fonts mbalimbali zikiwemo unazozipenda