Mnamo tarehe6 February account yangu ya Facebook ilijifunga ghafla ikidai Kuna mtu mwingine alikuwa anaifungua kwenye kifaa kingine, ikataka niingize code namba wanazontumia, nikawa naingiza hizo codes lakini hazikubali, nikawa narudia na kurudia lakini wapi..badae fb ikanambia nimerudia sana hivo ikaifunga zaidi ya hapo,, Yani code nilizokuwa naingiza kupitia simu na email zote hazikubali na nina details zangu nyingi TU nilisev huko,,,msaadajama i