pole sana mkuu...moderm za vodacom hazina shida sana kuzichakachua kama hizi moderm nyingine...moderm za voda hazihitaji unlocking code wala nini cha kufanya ni kudownload dashboad nyingine...ukipitia post zilizopita utaona link za kudownload 3g dashboard kwa ajili ya voda moderms...ukishadownload dashboad nyingine...uninstall vodafone dashboard...hapo ukiweka line yoyote itafanyakazi...hiyo dashboard ya vodafone ndo unayokataa line nyingine...