Unajua kinachofanyika kule china ni nini?nakubaliana na wewe kwa asilimia zote
sijakubishia wala kukataa ulichoniambia mkuuu,nimeuliza tu ili kuona kamamimi yawezekana nimeelewa tofauti.Hiyo haikuhusu kama hulipii kwa mfumo huo niliousema. Umeelewa Ila nahisi hutaki jibu nililolitoa, lakini ndio jibu la swala lako.
uko sahihi,nilikuaga siamini mpaka siku nilipoingia k.koo nakukuta chimbo linalouza Mabox ya simu aina zote Mapyaaa na seals zake na kila kitu chake ni wewe kwenda na simu tu...Nilitoa macho sikuamini.Unajua kinachofanyika kule china ni nini?
Jamaa wanachukua iphones ambazo ni reject (zilizochoka) wanazivisha housing mpya kabisa (refurbshed) zinaingizwa sokoni kama used ila wafanyabiashara wengine watakuambia ukweli kuwa ni used lakini wale wenye box zake watakuambia ni brand new na washajua kabisa wabongo wanashobokea iphone kwahyo biashara kwao inawawia rahisi
nimetafuta nikawapa kazi mafundi wameshndwa wote wanaendeshawe na TAMAA wabongo wakishajua unataka kiooo wanaropoka tu bei..
Kuna mtu kancheki muda si mrefu kanambia anipe kiooo ila anataka 1.5M unaweza imagine mkuu.
...nini inafanya iwe fake ?kwa kila kitu
Mkuu upo sahihi kabisa na hivi viduka vingi vya online especially IG wanauza simu ambazo ni refurbished.Unajua kinachofanyika kule china ni nini?
Jamaa wanachukua iphones ambazo ni reject (zilizochoka) wanazivisha housing mpya kabisa (refurbshed) zinaingizwa sokoni kama used ila wafanyabiashara wengine watakuambia ukweli kuwa ni used lakini wale wenye box zake watakuambia ni brand new na washajua kabisa wabongo wanashobokea iphone kwahyo biashara kwao inawawia rahisi
Ndio hivyo.sijakubishia wala kukataa ulichoniambia mkuuu,nimeuliza tu ili kuona kamamimi yawezekana nimeelewa tofauti.