sulfametopyrazine
Senior Member
- Apr 3, 2013
- 134
- 26
dsmupo wapi?
nitalifanyia kazinenda police , watahitaji receipt ambayo itakuwa na detail za imei ya cmu yako.Andaa kiasi flani cha fedha hiyo cmu itapatikana tu kama una nia
Kivip kwa samsung inawezekanaKama ina icloud ilikuwa active basi jua ushaikosa lakini haikuwa active icloud basi utaipata maana lazima kuna mtu atakuwa anaitumia