Tofauti ipo mtu aliyesoma Bachelor of Laws akimaliza ana qualify kwenda kusoma Law School of Tanzania baada ya hapo akifaulu anakuwa wakili na anakuwa na haki kuwakilisha mteja mahakamani
Lakini Bachelor of Laws Enforcement hawezi kufanya nilivyosema hapo juu