dah naona njia safi sana mkuu asante kwa ushauri wako.Mi nimesomea iyo course, IEM UDSM, IPO poa kijana , uzuri wake unapiga kazi popote, Lengo kuu la hii course ni ku improve productivity popote pale penye uzalishaji, pia hata kwenye service industries industrial engineer ana enhance efficiency and effectiveness, uko kote usipopata bas management inakubeba, kwani kwenye course hii utasomea all kind of management that you know....yaan palipo na Industrial engineer changes utaziona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masomo yapi yanakubebaMi nimesomea iyo course, IEM UDSM, IPO poa kijana , uzuri wake unapiga kazi popote, Lengo kuu la hii course ni ku improve productivity popote pale penye uzalishaji, pia hata kwenye service industries industrial engineer ana enhance efficiency and effectiveness, uko kote usipopata bas management inakubeba, kwani kwenye course hii utasomea all kind of management that you know....yaan palipo na Industrial engineer changes utaziona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini mzumbe wanafundisha ENGINEERING wewe kijana?? nenda kasome upya jina hiyo kozi!!Wakuu habari
Nipo hapa kuulizia kwa mwenye kuifahamu ki undani course hii inayo tolewa katika chuo kikuu mzumbe , katika nyanja ya upatikanaji ajira zake na masuala mengine yahusuyo kazi hii aweze japo kuchangia neno lolote lile mkuu maana ni course nyingineyo niliyo ijaza katika maombi ya elimu ya juu
Nina tanguliza shukrani zangu kwenu.
Nawewe unaamini mzumbe wanafundisha kozi za engineering?Mi nimesomea iyo course, IEM UDSM, IPO poa kijana , uzuri wake unapiga kazi popote, Lengo kuu la hii course ni ku improve productivity popote pale penye uzalishaji, pia hata kwenye service industries industrial engineer ana enhance efficiency and effectiveness, uko kote usipopata bas management inakubeba, kwani kwenye course hii utasomea all kind of management that you know....yaan palipo na Industrial engineer changes utaziona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini mzumbe wanafundisha ENGINEERING wewe kijana?? nenda kasome upya jina hiyo kozi!!
Acheni ubishi kama kitu hamkifahamuNawewe unaamini mzumbe wanafundisha kozi za engineering?
Unaonaje kama unafahamu ukaondoa huu ubishi?Acheni ubishi kama kitu hamkifahamu
Ndiyo maana nikakwambia acha ubishi kama kitu hukijui, ingia kwenye mtandao wao au TCU utapata taarifa zote za programs zaoUnaonaje kama unafahamu ukaondoa huu ubishi?
Nnavyojua mzumbe wana kozi ya industrial management ILA SIO INDUSTRIAL ENGINEERING!!
By our time, industrial engineering ilikua inatolewa pale COET!!
Nimeiona mkuu, ila hamna engineering kozi inasomwa miaka mitatu hasa kwa mtu aliyetoka form6! kama kijana anataka kozi ya uhandisi pure akasome coet, hiyo ya mzumbe ni jina tu hamna uhandisi hapo...Ndiyo maana nikakwambia acha ubishi kama kitu hukijui, ingia kwenye mtandao wao au TCU utapata taarifa zote za programs zao
Ur right mkuu hakuna engineering ya miaka mitatu kwa mtu anayetokea six huo ni usanii na biashara mwishoe wahitimu ndo wataumia engineering nenda COET, DIT, MUST zaidi ya hvyo vyuo changa la machoNimeiona mkuu, ila hamna engineering kozi inasomwa miaka mitatu hasa kwa mtu aliyetoka form6! kama kijana anataka kozi ya uhandisi pure akasome coet, hiyo ya mzumbe ni jina tu hamna uhandisi hapo...
Hata Ardhi wanatoa engineering course nzuri tu. Nimeshangaa kwa kutoiorodhesha ila kwa uzoefu wangu wahitimu na wanafunzi wa hiki chuo huwa siwakuti kwenye mabishano ya vyuo sijajua ni kwa sababu gani.Ur right mkuu hakuna engineering ya miaka mitatu kwa mtu anayetokea six huo ni usanii na biashara mwishoe wahitimu ndo wataumia engineering nenda COET, DIT, MUST zaidi ya hvyo vyuo changa la macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeiona mkuu, ila hamna engineering kozi inasomwa miaka mitatu hasa kwa mtu aliyetoka form6! kama kijana anataka kozi ya uhandisi pure akasome coet, hiyo ya mzumbe ni jina tu hamna uhandisi hapo...
Wakuu hiyo inaitwa industrial engineering management, ni mambo ya kiutawala zaidi ila kwenye viwanda sio engineerUr right mkuu hakuna engineering ya miaka mitatu kwa mtu anayetokea six huo ni usanii na biashara mwishoe wahitimu ndo wataumia engineering nenda COET, DIT, MUST zaidi ya hvyo vyuo changa la macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya mzumbe ni utawala wa kwenye viwandaHata Ardhi wanatoa engineering course nzuri tu. Nimeshangaa kwa kutoiorodhesha ila kwa uzoefu wangu wahitimu na wanafunzi wa hiki chuo huwa siwakuti kwenye mabishano ya vyuo sijajua ni kwa sababu gani.