We umechagua course huna idea nayo hata moja? Em acha utani.
Mechanical Engineering ni bonge la course ukijipanga vizuri, kuna mambo mengi sana na unaweza kuchagua uspecialize fields nyingi tu, sina idea diploma wanafundisha nini ila ukikomaa nayo hadi degree na ukapiga kitabu kwelikweli unaweza fika mbali, ukifanya mchezo ofcoz utafulia, hizi courses wanaenda wenye passion sio wanaofikiria hela wakati wote, zinahitaji msuli mrefu sana.