Greencolour Senior Member Joined Feb 19, 2018 Posts 105 Reaction score 83 Mar 14, 2018 #1 Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza
Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza
Patrioxylic Member Joined Jan 8, 2018 Posts 44 Reaction score 9 Mar 14, 2018 #2 Kozi za aina gani weka matokeo yake uwarahisishie wataalam wa jf
Inferior Complex JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 3,655 Reaction score 5,044 Mar 14, 2018 #3 Greencolour said: Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza Click to expand... Leta matokeo yake!! Yote tukupe mwongozo!!
Greencolour said: Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza Click to expand... Leta matokeo yake!! Yote tukupe mwongozo!!
Septem JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 313 Reaction score 404 Mar 15, 2018 #4 Mpeleke Veta cost zao ni ndogo mno. Yaweza mcost total laki 5 kwa mwaka(ada + hostel).
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,228 Reaction score 4,462 Mar 15, 2018 #5 Greencolour said: Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza Click to expand... Mpeleke vyuo vya maendeleo ya jamii Ada ni ndogo sana Vilivyo chini ya wizara husika
Greencolour said: Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza Click to expand... Mpeleke vyuo vya maendeleo ya jamii Ada ni ndogo sana Vilivyo chini ya wizara husika