Ahsante kwa kumpa kijana ushauri! umeokoa uhai wake😂Alietengeneza alitaka iwe hivyo sasa nenda kinyume na hapo uone balaa lake..😂
Kuwa kama mimi tu mkuu hata yakikupiga ng'ang'ania tu kikubwa usiruhusu yakutoe uhai maana hasara ni roho pesa makaratasi tu.
Una jambo unataka kulifungulia uzi ila naona nafsi ya moyo+ubongo na mikono havitaki kupeana kampan ili utuletee huo uzi wa kufungia mwaka...ila tunakuaidi kuwa na subraaAlietengeneza alitaka iwe hivyo sasa nenda kinyume na hapo uone balaa lake..😂
Kuwa kama mimi tu mkuu hata yakikupiga ng'ang'ania tu kikubwa usiruhusu yakutoe uhai maana hasara ni roho pesa makaratasi tu.
Acha vurugu mkuu sina Jambo mimi..😀Una jambo unataka kulifungulia uzi ila naona nafsi ya moyo+ubongo na mikono havitaki kupeana kampan ili utuletee huo uzi wa kufungia mwaka...ila tunakuaidi kuwa na subraa
C unajua hatuna updates za ile shemej yetu kutokupatikana ile xmass!!sasa utatuambiaje huna jambo mkuu?Acha vurugu mkuu sina Jambo mimi..😀
Ya ngoswe apewe ngoswe.C unajua hatuna updates za ile shemej yetu kutokupatikana ile xmass!!sasa utatuambiaje huna jambo mkuu?
Alipatikana saa ngapi?Alietengeneza alitaka iwe hivyo sasa nenda kinyume na hapo uone balaa lake..
Kuwa kama mimi tu mkuu hata yakikupiga ng'ang'ania tu kikubwa usiruhusu yakutoe uhai maana hasara ni roho pesa makaratasi tu.
Usipotongoza utatongozwaWakuu,
Naombeni mawazo ya kisaikolojia ya jinsi gani naweza kujiondoa kabisa kwenye hili gonjwa la mahusiano na mapenzi.
Nimejaribu ushauri niliokuwa nikipatiwa, mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiwango fulani!!
Naombeni mchango wenu nisifikirie kabisa kuhusu mapenzi kwa sasa, niwaze pesa tu!!
Issue ni serious.U sipo