The river between Member Joined Dec 31, 2015 Posts 16 Reaction score 0 Jan 3, 2016 #1 Msaada wa kimasomo;alama zifuatazo ktk mtihani wa kidato cha nne 2003 naruhusiwa kujiunga na chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto?Civics..C,History..C,Geography..D,Kiswahili..D,English language..D,Math F,Bios F.naombeni majibu
Msaada wa kimasomo;alama zifuatazo ktk mtihani wa kidato cha nne 2003 naruhusiwa kujiunga na chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto?Civics..C,History..C,Geography..D,Kiswahili..D,English language..D,Math F,Bios F.naombeni majibu
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,584 Reaction score 23,572 Jan 3, 2016 #2 Utaweza certificate lkn