Msaada wa kifikra unahitajika

Mkazuzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
449
Reaction score
559
habari za kutwa wadau
tukiwa kama waajiriwa kuna haki za msingi ambazo zinastahili kufuatwa kwa pande zote mbili yaani muajiri na muajiriwa ikiwa haki hizo zinafahamika.
swali lang ni hili:ikiwa muajiri anaamua kukuhamisha kituo cha kazi,let say kutoka mkoa A kwenda mkoa B,zaidi ya mshahara wako wa mwezi,na hela ya nauli,nini zaidi anachopaswa kukuongeza?ni muhimu kuzitambua haki zako za msingi,maana msaada wako hata kwa
 
ili uelewe zaidi tafuta kipengele hicho katika employment and labour relation act, 2004. kama huna hardcopy unaweza kupata softcopy yake kwenye internet,,,ili kuelewa zaidi
 
na yote hayo yapo kwenye mkataba wa kwa kazi lazima ujue utafanyia kazi wapi na kama kutakuwa na mabadiliko utaambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…