S sulu bin nasry Member Joined Sep 18, 2016 Posts 17 Reaction score 9 Sep 18, 2016 #1 wakuu habarini, nisaidien kaz jaman,Nina operate machine excavator pia Nina diploma ya engineering please nisaidien kaz yeyote ile pia Nina blasting certificate na driver licence, Nina mwaka mzima nyumban yeyote mwenye kuguswa Nisaidieni jaman.
wakuu habarini, nisaidien kaz jaman,Nina operate machine excavator pia Nina diploma ya engineering please nisaidien kaz yeyote ile pia Nina blasting certificate na driver licence, Nina mwaka mzima nyumban yeyote mwenye kuguswa Nisaidieni jaman.
LTN USU WA MADOSO JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,193 Reaction score 859 Sep 19, 2016 #2 DIPLOMA YA ENGINEERING NDOO KOZI GANI HIYO HEBU ACHA BAGI KWANZA HII KOZI IPO CHUO GANI
S sulu bin nasry Member Joined Sep 18, 2016 Posts 17 Reaction score 9 Sep 19, 2016 Thread starter #3 LTN USU WA DEMO said: DIPLOMA YA ENGINEERING NDOO KOZI GANI HIYO HEBU ACHA BAGI KWANZA HII KOZI IPO CHUO GANI Click to expand... Jamaa ni dip in mining engineering,nipo serious nateseka kinoma
LTN USU WA DEMO said: DIPLOMA YA ENGINEERING NDOO KOZI GANI HIYO HEBU ACHA BAGI KWANZA HII KOZI IPO CHUO GANI Click to expand... Jamaa ni dip in mining engineering,nipo serious nateseka kinoma
M Mr pesa Member Joined Mar 20, 2013 Posts 79 Reaction score 7 Sep 19, 2016 #4 Mwaka mzima hujawahi kufanya maombi ya kaz makampuni na viwandani uko au interview umedunda sana
S sulu bin nasry Member Joined Sep 18, 2016 Posts 17 Reaction score 9 Sep 20, 2016 Thread starter #5 Mr pesa said: Mwaka mzima hujawahi kufanya maombi ya kaz makampuni na viwandani uko au interview umedunda sana Click to expand... sijaitwa mkuu kweny interview aisee,so msaada wenu naomben hata kaz yyte nipo OK kufanya
Mr pesa said: Mwaka mzima hujawahi kufanya maombi ya kaz makampuni na viwandani uko au interview umedunda sana Click to expand... sijaitwa mkuu kweny interview aisee,so msaada wenu naomben hata kaz yyte nipo OK kufanya