Mimi Naturals Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Nov 26, 2017 #1 Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada
Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada
Spalulu JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 284 Reaction score 146 Nov 26, 2017 #2 Kama wamjua mtu alo South Africa wasiliana naye au hata US pia. Bidhaa hizi huko waliko wananunua online
Kama wamjua mtu alo South Africa wasiliana naye au hata US pia. Bidhaa hizi huko waliko wananunua online
Spalulu JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 284 Reaction score 146 Nov 26, 2017 #3 So kama waweza order online ukiwa huku pia fanya hivo.
Mimi Naturals Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Jan 7, 2018 Thread starter #4 Spalulu said: Kama wamjua mtu alo South Africa wasiliana naye au hata US pia. Bidhaa hizi huko waliko wananunua online Click to expand... Wengi wao wachoyo, wanataka kununua kwao na wanauza bei Sana
Spalulu said: Kama wamjua mtu alo South Africa wasiliana naye au hata US pia. Bidhaa hizi huko waliko wananunua online Click to expand... Wengi wao wachoyo, wanataka kununua kwao na wanauza bei Sana