INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
Kwani una elimu gani na fani ipi
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1619876/ usitukane mamba kabla hujavuka mto.
Jamaa wenge mingi.Jamaa alijifanya kiburi
Hizo NYEGE za kuapply umezitolea wapi.Wanajukwaa kuna kazi zimetangazwa na utumishi leo TASAC, katika nafasi hzo nime apply nafas mbili
1.Ship tallying officer
2.shipping services officer
Naombeni msaada nisome mambo gani hapo ili nianze msuli siriazi, kwasababu naamin written lazma nitafanya. Yotote mwenye idea karibu