Wakuu heshima zenu
kama iivyokawaida ya IDM kila unapostream video inakuletea ka button kaku-download,,,kwangu hiii kitu sioni kabisa na hii imetokea baada ya ku-upgrade to firefox 18 ,for yahoo!
lakini files nyingine kama program inazichukua bila wasi wasi isipokuwa video na audio
niliingia kwenye add-ons nika disable IDM afu nikaenable na kurestart mozila bila mafanikio
naombeni msaada wenu