Kwanza Linux ni kundi zima la Operating System ambazo zinatofautiana so kuna Ubuntu, RedHat, Mint, CentOS etc zinaweza kuzidi mia.
Linux PC sio popular, hivyo waandishi wa virus hawapendi kuilenga, ukiandika virus ya linux chance za hiyo virus kusambaa ni ndogo sana kwa sababu ya population ndogo ya linux desktops.
Hakuna latest kati ya Windows na Linux ni vitu tofauti, kikubwa utakachopoteza ukitumia Linux ni upatikanaji wa software ambazo unaweza ukawa umezizoea, kwa kuwa soko la linux ni dogo, watengenezaji wa software mara nyingi wanakuwa hawailengi Linux.