Msaada wa hii nyimbo

wadau kuna nyimbo ya kibongo kila nikisikiliza hawaitaji jina ila kiitikio kiko hivi


""yarabi moyo wangu nilikupatia ukaniona boya eee maskini penzi langu.nilikupa chorii""


mwenye kuijua tufahamishane na mm niwe nayo
Tutumie ukiwa unaimba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…