Msaada wa haya mawe

Rkz5

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
18
Reaction score
3
Wadau wangu naombeni msaada wa haya mawe ambayo kimuonekano ni meupe sana na yanameremeta kiasi kwa jina yanaitwa terrazo.
Natafuta soko bei yake ikoje sokoni
 
Mkuu tafuta mafundi wa kuweka floor wanaweza kukuonyesha soko ila usiumize kichwa sana yapo sehemu nyingi nchini
 
Awamu hii lazima tuheshimiane!! Mawe ya kujengea yanapogeuka vito vya thamani ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…