Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 103
Wadau samahani kwa usumbufu .nimetuma pesa kupitia tigo pesa kwa no ambayo siyo mlengwa nikipiga huduma wananiambia fb,twitter nini sijuwi.nifanyaje no yenyewe ni 0714933133
kimbia kwa mawakala wana namba za emergence ya hiyo kitu fasta inakuwa broked...nenda mbiooooooo
Hapo broked ni blocked, kidhungu TZ bado ni safari ndeeefu!!!!! Du
Hapo broked ni blocked, kidhungu TZ bado ni safari ndeeefu!!!!! Du
. Kuna ubaya gani kukosolewa??i think that are only typing errors i made due to fast writting! lakini si jambo lakusema kizungu Tanzania, ninyi wenye haraka ndo huwa bila bila kichwani lakini kufatilia mambo ka! and i bet, your not fluent in english, coz i have an exprience with person such of ur type, they always understand YES & NO in English. anyway najua nawe ni mtanzania unatabia tu za baadhi yetu
. Kuna ubaya gani kukosolewa??
i think that are only typing errors i made due to fast writting! lakini si jambo lakusema kizungu Tanzania, ninyi wenye haraka ndo huwa bila bila kichwani lakini kufatilia mambo ka! and i bet, your not fluent in english, coz i have an exprience with person such of ur type, they always understand YES & NO in English. anyway najua nawe ni mtanzania unatabia tu za baadhi yetu