Ok naomba uniwie radhi sana
Pale Hospitali ya Rabinsia tegeta wanatoa matibabu ya vidonda vya tumbo lakini ni mpaka wampime mgonjwa wajue hivyo vidonda viko stage gani kisha watakupa dawa na matibabu kulingana na stage
Sorry again [emoji15] [emoji25] [emoji144]