Sawa mkuu, ila unakaribishwa kuja kufanya mazoezi ya practical, kutoka chanika kuja yombo unapanda gari mbili,
Gari ya kwanza unapanda kutoka chanika hadi gongo la mboto, ukishuka hapo G/mboto panda gari za kwenda temeke, alafu utashukia yombo kituo cha daladala cha chama!!
Kua chanika mkuu sio tatizo, wapo wanafunzi wanatoka vikindu na mkuranga wanasoma practical hapa! Karibu sana mkuu!!