Je hiyo itatibu tatizo.?tumia nanas na machungwa mara kwa mara
heshima kwenu wadau,
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 31 ninasumbuliwa na tatizo hili;-
Wiki mbili zilizopita kuna siku nilitembelewa na girlfriend wangu ambaye tunaishi mikoa tofauti.
Alikaa siku mbili kisha akarudi anakofanyia kazi,
Sasa baada ya siku 2 nlianza kuona dalili ya kutokwa na vitu kama maziwa njano kwenye tundu la uume,
Nilimpigia simu girlfriend wangu na kumweleza kuhusu tatizo hilo na akasema yeye yuko safi na hana ugonjwa wowote wala hana dalili zozote za zinaa
Niliamua kuomba ushauri kwa jamaa mmoja anayeuza duka la dawa akanambia nna dalili za gono!
Akanichoma sindano moja ya powerseif pia akanipa vidonge vinavyoitwa Azuma vya kutumia siku nne.
Baada ya kumaliza dawa hizo nlipata nafuu kidogo ila baada ya siku mbili tatizo likarudi!
Ndipo nikaamua kwenda maabala kupima damu na mkojo,
Lakini majibu yalionyesha sina magonjwa ya zinaa ila nina UTI
nikashauriwa kutumia vidonge vya Azuma vya siku 6 lakini mpaka leo ni siku ya nne natumia dawa sioni mabadiriko.!
Bado natokwa na hivyo vimaji vya rangi ya njano japo huwa hakuna harufu yoyote.
Najua humu kuna watu mbalimbali wenye uelewa kuhusu tatizo hili naombeni msaada wa ushauri ili nijue dawa gani itanisaidia.!
Natanguliza shukrani.
Urethral Discharge Syndrome (UDS) tumia Ciprofloxacin 500mg twice daily for 7days pamoja na Doxycycline 100mg twice daily for 2 weeks pamoja na Secnidazole 2gm mara moja. Kama hujapona kafanye culture and sensitivity. Ni Muhimu girfriendwako pia atumie hiyo dozi.
Sio tu gonorrhoea, yaweza kuwa chlamydia, trichomoniasis na hata candidiasis ndio maana ni muhimu kutumia combination drugs to tackle all causative organismsNa huo ugonjwa ni gonorhoe sugu usipoangalia litalisumbua fua chupi zako kwa majimoto na dettol
Nashukuru sana mkuu.Pole sana mkuu.
Fanya kitu kimoja nenda hospital fanya kipimo cha culture n sensitivity ya mkojo
Chonde chonde usiende dispensary na kwa uhakika zaid hiki kipimo kakifanye
1.muhimbili
2.lancert laboratories(regency hospital)
Hizi ndo sehemu nzuri za kufanya kipumo hicho naamin itakuwa gono
Ubarikiwe sana..!Urethral Discharge Syndrome (UDS) tumia Ciprofloxacin 500mg twice daily for 7days pamoja na Doxycycline 100mg twice daily for 2 weeks pamoja na Secnidazole 2gm mara moja. Kama hujapona kafanye culture and sensitivity. Ni Muhimu girfriendwako pia atumie hiyo dozi.
Ngoma nimepima sina,Kapime pia ngoma maana inaonekana rafiki yako wa kike ni kicheche
Nimekupm kitu kacheck!Urethral Discharge Syndrome (UDS) tumia Ciprofloxacin 500mg twice daily for 7days pamoja na Doxycycline 100mg twice daily for 2 weeks pamoja na Secnidazole 2gm mara moja. Kama hujapona kafanye culture and sensitivity. Ni Muhimu girfriendwako pia atumie hiyo dozi.
nilijua tu swali kama hili lingetokeaMkuu miaka 31 una girl friend??anyways pole kwa ugonjwa uliokupata
Umemsaidia sanaUrethral Discharge Syndrome (UDS) tumia Ciprofloxacin 500mg twice daily for 7days pamoja na Doxycycline 100mg twice daily for 2 weeks pamoja na Secnidazole 2gm mara moja. Kama hujapona kafanye culture and sensitivity. Ni Muhimu girfriendwako pia atumie hiyo dozi.