Simu yangu ya samsung s6 imegoma kufunguka inahitaji backup password to unlock the device. Nifanyeje maana sikuwa na pasword yoyte zaidi ya kufungua kwa fingerprint.
Ok.ipo iv kama ulikua unatumia pin or pattern before kabla ya kuweka iyo fingerprint kumbuka kua utaweza kuweka iyo fingerprint lakini kwenye kufungua lazima itaambatishwa na pin or pattern yani simu yako itataka pin or pattern before ya fingerprint hau simu yko itataka fingerprint then pin or pattern