fanya yafuatayo pakua VPN inayoitwa proton kisha jisajili uendelee kula maisha hilo swala ni la kitaifa sio kwako tu karibia nchi nzima limewakumbaSimu yangu ni infinix note 5 inatumia line mbili, nimepata tatizo la kupoteza kwa network line ya halotel, Nina line mbili zote nikiweka network inakuja baada ya muda zinakata zote su inakuja moja tuu, nikiweka Tigo si vida hazisumbui ila halotel inasumbua sana tatizo nini?...
mkuu hilo sio tatzo la simu ni laini.. ingelikuwa laini zote zinasumbua sawa. lakini jaribu kuwasiliana na services care na wa-locate sehem ulipo.. tatzo litakuwa limeishaSimu yangu ni infinix note 5 inatumia line mbili, nimepata tatizo la kupoteza kwa network line ya halotel, Nina line mbili zote nikiweka network inakuja baada ya muda zinakata zote su inakuja moja tuu, nikiweka Tigo si vida hazisumbui ila halotel inasumbua sana tatizo nini?...
mkuu hilo sio tatzo la simu ni laini.. ingelikuwa laini zote zinasumbua sawa... lakn jaribu kuwasiliana na services care na wa-locate sehem ulipo.. tatzo litakuwa limeisha
nisahihi pia mimi nimeliona hilo tatizo nilitaka ni irestore cm ila nikahusisha na uchaguzi nikaona nisubiri uishe nionefanya yafuatayo pakua VPN inayoitwa proton kisha jisajili uendelee kula maisha hilo swala ni la kitaifa sio kwako tu karibia nchi nzima limewakumba
hivi na hizi VPN sio ndio zinaleta tatizofanya yafuatayo pakua VPN inayoitwa proton kisha jisajili uendelee kula maisha hilo swala ni la kitaifa sio kwako tu karibia nchi nzima limewakumba
hakuna tatizo lolote lile ndugu yanguhivi na hizi VPN sio ndio zinaleta tatizo
wengi leo walitaka kufanya hivyo wengine walipeleka simu kwa mafundinisahihi pia mimi nimeliona hilo tatizo nilitaka ni irestore cm ila nikahusisha na uchaguzi nikaona nisubiri uishe nione
Ulaji wa bando ipojehakuna tatizo lolote lile ndugu yangu
ila ndio playstore yenyewe haina kazihakuna tatizo lolote lile ndugu yangu
haili kabisa nina gb 1 siku ya 3 leoUlaji wa bando ipoje