endapo nikiupata nitakutumiayeah lakini kuna mtu mmoja niliwahi kumuona na CD yenye wimbo huu sasa ni muda sana nimepoteza mawasiliano nae
anawataka waache kuiba kura la sivyo watazid kupukutika kwa laana za wananchiMambo ya Yesu na CCM wapi na wapi?
album zake zote zipo ktk site moja ya kulipia,so siwez kutumia atm yangu online burebure tu.we njoo Whatsap tutaelewana Mkuu hata nikikurudishia hela la bando pia si mbaya..