Mambo zenu jamani,
Anayejua wapi naweza kudownload free kabisa vitabu vya Marketing anijuze,especially vya kotler,armstrong na wengine maarufu bila ya longolongo za kujisajili.
Pia anaejua vitabu vilivyoongelea marketing strategy anijuze pamoja na authors wake.
Halafu anaejua types,characteristics au process au chochote kuhusu marketing strategy atupie hapa.
Au mwenye material zozote kuhusiana na hivyo alieko Dodoma anisaidie plz,
Shukrani.