kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Shukrani mkuu kwa hiyo nikisha iinstal naweza kupiga picha vyeti mfano na kuvituma kwa njia ya email pasipo enda stationary?Tumia camscanner.Ndio app bora ya kuscan kwa njia ya phone
Shukrani mkuu kwa hiyo nikisha iinstal naweza kupiga picha vyeti mfano na kuvituma kwa njia ya email pasipo enda stationary?
Nashukuru ubarikiwe mkuuJiamini mkuu,hiyo app inafanya yote kama ulivyo uliza
Shukrani mkuu kwa hiyo nikisha iinstal naweza kupiga picha vyeti mfano na kuvituma kwa njia ya email pasipo enda stationary?
Aisee technologia imekua Sana saiv duhKabisa hiyo ndo yenyewe itasafisha image yako hutaamini
Ninasikia inaweka 'watermark' mpaka uinunue...je ni kweli?Tumia camscanner.Ndio app bora ya kuscan kwa njia ya phone
Tumia fast scanner kama hautaki watermark ya camscannerNinasikia inaweka 'watermark' mpaka uinunue...je ni kweli?
Shukrani mkuuTumia fast scanner kama hautaki watermark ya camscanner
Tafuta cracked iko google mkuu haiweki watermark.Ninasikia inaweka 'watermark' mpaka uinunue...je ni kweli?
Tafuta cracked iko google mkuu haiweki watermark.