DCONSCIOUS JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,269 Reaction score 473 Mar 13, 2011 #1 Nime fanikiwa ku download karspaskery ya 2011 lakini sina code zake plz kama kuna mtu mwenye genuine activeting codes naomba msaada tafadhari wakuu.[
Nime fanikiwa ku download karspaskery ya 2011 lakini sina code zake plz kama kuna mtu mwenye genuine activeting codes naomba msaada tafadhari wakuu.[
achengula JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 369 Reaction score 63 Mar 14, 2011 #2 Hata mimi nahitaji code, msaada jamani
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Mar 14, 2011 #3 Hi DCONSCIOUS/Achengula Just PM me for your needs
Blaque Senior Member Joined Feb 11, 2011 Posts 127 Reaction score 105 Mar 19, 2011 #4 Inkoskaz; Thanx kaka,it works
T tumain ernest Member Joined Feb 24, 2011 Posts 26 Reaction score 8 Mar 19, 2011 #5 Jamani mbona hivyo wenye mahitaji na hizo codes tupo wengi hebu naomba ziweke wazi ili jukwaa hili liwe msaada kwa wengi na sio kwa siri siri
Jamani mbona hivyo wenye mahitaji na hizo codes tupo wengi hebu naomba ziweke wazi ili jukwaa hili liwe msaada kwa wengi na sio kwa siri siri
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Mar 19, 2011 #6 tumain ernest said: Jamani mbona hivyo wenye mahitaji na hizo codes tupo wengi hebu naomba ziweke wazi ili jukwaa hili liwe msaada kwa wengi na sio kwa siri siri Click to expand... kama umeweza kupost mchango wako hapa umeshindwa nini kuPM kama wenzio na umeona wanasema wamefanikiwa?
tumain ernest said: Jamani mbona hivyo wenye mahitaji na hizo codes tupo wengi hebu naomba ziweke wazi ili jukwaa hili liwe msaada kwa wengi na sio kwa siri siri Click to expand... kama umeweza kupost mchango wako hapa umeshindwa nini kuPM kama wenzio na umeona wanasema wamefanikiwa?
M mareche JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 471 Reaction score 95 Mar 19, 2011 #7 Inkoskaz said: kama umeweza kupost mchango wako hapa umeshindwa nini kuPM kama wenzio na umeona wanasema wamefanikiwa? Click to expand... wakuu hata me nahiyaji hizo code
Inkoskaz said: kama umeweza kupost mchango wako hapa umeshindwa nini kuPM kama wenzio na umeona wanasema wamefanikiwa? Click to expand... wakuu hata me nahiyaji hizo code
DCONSCIOUS JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,269 Reaction score 473 Mar 19, 2011 Thread starter #8 nashukuru mkuu nimefanikiwa
ambili JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 243 Reaction score 15 Mar 24, 2011 #9 Big up, @Inkoskaz key zimekubali, nimekugongea na senks.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Mar 24, 2011 #10 ambili said: Big up, @Inkoskaz key zimekubali, nimekugongea na senks. Click to expand... ubarikiwe mkuu
ambili said: Big up, @Inkoskaz key zimekubali, nimekugongea na senks. Click to expand... ubarikiwe mkuu
the kapex Member Joined Feb 4, 2011 Posts 35 Reaction score 2 Mar 26, 2011 #12 Msaada jamani sijui hata hiyo ku PM nifanyeje ili nizipate hizo codes